SINGIDA UNITED YAMSAJILI KIUNGO WA TANZANIA PRISONS Mkurugenzi wa Singida United, Sanga Festo (kulia) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo kiungo mpya, Kazungu Mashauri waliyemsajili kutoka Tanzania Prisons ya Mbeya. Zoezi hili lilifanyika wiki iliyopita, lakini Singida wamemtambulisha mchezaji huyo leo 04 Jun 2018
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.