Kiungo
Steven Zuber akishangilia kwenye kibendera cha kona baada ya kuifungia
bao la kusawazisha Uswisi dakika ya 50 katika sare ya 1-1 na Brazil leo
kwenye mchezo wa Kundi E Kombe la Dunia Uwanja wa Rostov Arena nchini
Urusi, kufuatia Philippe Coutinho kuanza kuwafungia wenyeji wa fainali
zilizopita mwaka 2014 dakika ya 20
Home
»
»Unlabelled
» ZUBER AWAPOKONYA USHINDI BRAZIL KOMBE LA DUNIA
Monday, June 18, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment