Sunday, July 8, 2018


Wachezaji wa klabu ya Chelsea wameanza kurejea kwenye mazoezi baada ya kutoka kwenye mapumziko na wengine wakitokea kwenye michuano ya kombe la dunia Urusi.

Idadi kubwa ya wachezaji ambao hawakuwemo kwenye michunia ya kombe la dunia Urusi tayari wamejiunga na mazoezi wakiongozwa na Cesc Fabregas pamoja na David Luiz, Emerson Palmieri na Davide Zappacosta.

Picha za matukio mbalimbali ya wachezaji wa Chelsea wakifanya mazoezi kujiandaa na mwanzo wa msimu.

Cesc Fabregas (R) posted a snap on Instagram of him with Davide Zappacosta (second right), David Luiz (M) and Emerson Palmieri (L) having their medical tests after the training session
The Chelsea stars only worked on their fitness with light jogging and stretching exercises
Alvaro Morata was also on show as they trained for the first time ahead of the new campaign

Comments

0 comments:

Post a Comment