Wachezaji
wa timu ya taifa ya Brazil wakiongozwa na Neymar. Philippe Coutinho
wameonekana wakiwa kwenye nyuso zilizokosa furaha wakiwa wanaondoka
kwenye hoteli waliyo kuwa wakikaa nchini Urusi.
Kikosi hicho cha Brazil kilipata kipigo cha mabao 2 – 1 kutoka kwa
Ubelgiji mchezo wa robo fainali ya michuano ya kombe la dunia
inayoendelea Urusi.
0 comments:
Post a Comment