Mshambuliaji
Mmisri, Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la
tatu dakika ya 58 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Napoli kwenye mchezo wa
kirafiki leo Uwanja wa Aviva mjini Dublin. Mabao megine ya Liverpool
yamefungwa na James Milner dakika ya nne, Georginio Wijnaldum dakika ya
tisa, Daniel Sturridge dakika ya 73 na Alberto Moreno dakika ya 77 kipa
mpya, Mbrazil Alisson Ramses Becker aliyesajiliwa kutoka Roma akianza
vyema kwa kusimama langoni kwa mara ya kwanza bila kuruhusu bao
Home
»
»Unlabelled
» SALAH AFUNGA LIVERPOOL YAIBAMIZA 5-0 NAPOLI KIRAFIKI
Sunday, August 5, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment