Sunday, August 12, 2018



Tarehe kama ya leo Liverpool ilanasa saini ya Kenny Dalglish
Maelezo binafsi
Majina Kenneth Mathieson Dalglish
Kuz 4 Machi 1951 (67)
Mahali Glasgow, Scotland
Kimo 1.73 m (5 ft 8 in)
Nafasi Forward
Alianzia maisha yake ya soka huko huko nchini Scotland
Soka la Vijana
1967–1968 Cumbernauld United
1968–1969 Celtic

Dalglish alianzia maisha yake pale Celtic mwaka 1971, akashinda mataji manne ya Scottish league championships, vikombe vinne vya Scottish Cups na taji moja la Scottish League Cup.
Mnamo tahere 12 mwezi wa 8 mwaka 1977, akaelekea Liverpool chini ya meneja Bob Paisley aliyetoa kitita cha £440,000 (£2,509,000 kwa hela ya sasa)
Soka la wakubwa

T M (G)
1969–77 Celtic 204 (112)
1977–90 Liverpool 355 (172)
Jumla
559 (230)

Mataji yake na liverpool kwa miaka yote ni:
League Championship🏆🏆🏆🏆🏆🏆
League Cup🏆🏆🏆🏆
European Cup🏆🏆🏆
FA Cup🏆
172 Mabao⚽
Baada ya majnaga ya kuanguka kwa uwanjana wa Heysel Stadium mwaka 1985 kocha Joe Fagan aliamua kujiuzulu wadhfa wake na Dalglish alitwaa nafasi yake hiyo na kutiumikia Liverpool kama kocha na mchezaji pia. Msimu wake wa kwanza 1985–86, aliisaidia Liverpool kubeba ubingwa wa ligi alama mbili mbele ya Everton (Dalglish mwenyewe akifunga bao la ushindi 1–0 dhidi ya Chelsea pale pale Stamford Bridgeto kwenye mchezo wa mwisho wa ligi na kuipatia Liverpool ubingwa. Hapo hapo alikiwa yeye mwenyewe ndiye kocha mkuu wa klabu hiyo. Pia msimu huo huo alitwaa kombe la FA Cup kwa kuwafunga wapinzani wao wakubwa Evertonin kwenye mechi ya fainali na Liverpool kuweka rekodi ya kutwaa mataji mawili ndani ya msimu mmoja

Timu alizowahi kuzifundisha

1985–1991 Liverpool
1991–1995 Blackburn Rovers
1997–1998 Newcastle United
2000 Celtic
2011-12 Liverpool

Mataji aliyotwaa
Liverpool
  • Football League First Division (3): 1985–86,1987–88, 1989–90
  • FA Cup (2): 1985–86, 1988–89
  • League Cup (1): 2011–12
  • Super Cup (1): 1986–87
  • FA Charity Shield (4): 1986, 1988, 1989, 1990
Blackburn Rovers
  • Premier League (1): 1994–95
  • Football League Second Division Play Off Winners (1): 1991–92
Celtic
  • Scottish League Cup (1): 1999–2000[90]

Mafanikio binafsi

  • Ballon d’Or: Mshindi wa 3: 1983[
  • IOC mchezaji bora wa ulaya: 1977–78
  • PFA mchezaji bora wa mwaka ligi kuu England : 1982–83
  • FWA mchezaji bora wa msimu wa waandishi wa habari: 1978–79,1982–83
  • FWA tuzo ya heshima ya waandishi wa habari: 1987
  • Tuzo ya heshima ya England kwa wanamichezo (Hall of fame): 2002
  • Tuzo ya heshima ya Scottish (Hall of Fame): 2004
  • FIFA 100: 2004
  • Tuzo ya heshima ya ulaya (European Hall of Fame) (Player): 2008

0 comments:

Post a Comment