Mechi za Ligi Kuu Bara zimeendelea tena leo kwenye viwanja kadhaa nchini.
Katika mechi zilizochezwa, Mbao ambao walitoka kuadhibu Simba wakiwa kwao CCM Kirumba Mwanza, wameendelea ushindi kwa kuifunga bao 1-0.
Aidha, Stand United nayo imefanikiwa kuirarua Ndanda FC kwa mabao 3-1.
Wakati huo Mtibwa Sugar nayo imefanikiwa kuilaza African Lyon Uwanja wa Uhuru kwa mabao 2-0.
0 comments:
Post a Comment