Jumla ya mechi 8 za Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya zimepigwa jana ambapo kigogo na bingwa wa kihistoria, Real Madrid imeambulia kichapo cha bao 1-0 dhidi ya CSKA Moscow.
Wakati huo Manchester United nayo imeshindwa kutamba kwenye Uwanja wake wa nyumbani kwa kulazimishwa suluhu ya 0-0.
Matokeo kamili haya hapa
0 comments:
Post a Comment