UONGOZI wa Simba umesema kuwa bajeti yao msimu huu kuelekea siku ya Simba day ni moto wa kuotea mbali kwani wamejipanga kutumia mkwanja mrefu.
Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori amesema kuwa hesabu zao siku ya Agosti 6 kufanya mambo makubwa zaidi ya msimu uliopita.
"Bajeti ya Simba Day ya mwaka huu itakuwa ni kubwa mara mbili zaidi ya ule msimu uliopita tupo tayari kwa ajili ya kutoa burudani kwa mashabiki na wapenzi wa Simba.
"Kwa sasa siwezi kuitaja bajeti kamili kwa kuwa ni masuala ya amba na sijaieba hapa ila nina imani haitakuwa ya chezomchezo kwa kuwa tumeipitisha sisi wenyewe," amesema.
0 comments:
Post a Comment