Tuesday, July 30, 2019

KLABU ya Everton “Toffees”na wamefika makubaliano mabingwa wa Ufaransa, Paris Saint-Germain “PSG” juu ya kiungo huyo raia wa Senegal.
Akitokea Aston villa na kujiunga na everton, Gueye ameichezea takriban michezo 108.
Kiungo huyo mwenye miaka 28 amesaini miaka 4 kwenye mkataba wake kukipiga PSG huku kiwango cha uhamisho kikiwa hakijawekwa wazi.

Hii ikiwa ni mara ya pili akirudi kuchezea ligi ya ufaransa ,Idrissa Gueye  kabla ya hapo kujiunga astonvilla na everton alianzia maisha ya mpira ulaya akiwa na klabu  ya Lille inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa.

0 comments:

Post a Comment