Tuesday, July 30, 2019


BEKI wa timu ya taifa ya England, Harry Maguire, hakuonekana kwenye mazoezi ya timu yake ya Leicester City huku ikisemekana anamalizana na manchester united.
Muingereza huyo alimpigia simu daktari wa timu na kusisitiza anaumwa na kiweza kupata ruhusa ya kupumzika kwa siku nzima na kutofika mazoezini.
Leicester city wamepiga chini ofa mbili sasa zilizo letwa na Manchester United kwa kile kilichoelezwa kuwa wanataka million 80 pound za kiingereza huku manchester united ofa yao ya mwisho ilikua million 70 pounds.

Ikumbukwe maguire alikosekana kwenye mechi za kujipima ubavu za kujiandaa na ligi.

0 comments:

Post a Comment