Thursday, August 1, 2019



GARETH Bale akiwa ndani ya Real Madrid na mabosi zake tofauti kwa misimu tofauti alikuwa namna hii kwa upande wa rekodi zake za kucheza:-

 Msimu wa mwaka 2013/15 alikuwa chini ya Carlo Ancelotti amecheza jumla ya mechi 92 sawa na asilimia 77 huku akianza kwenye jumla ya mechi 82 sawa na asilimia 69.

Msimu wa mwaka 2015/16 chini ya Rafa Benetez amecheza jumla ya mechi 15, sawa na asilimia 60 huku akianza kwenye mechi 14 sawa na asilimia 56.

Msimu wa mwaka 2018/19 chini ya Santiago Solari amecheza mechi 22 sawa na asilimia 69 huku akianza kwenye jumla ya mechi 13 sawa na asilimia 41.

Msimu wa mwaka 2016/18/19 chini ya Zinedine Zidane amecheza jumla ya mechi 90 sawa na asilimia 56 ameanza jumla ya mechi 70 sawa na asilimia 44.

0 comments:

Post a Comment