KLABU
ya fiorentina imemsaini mchezaji Kevin-Prince Boateng kutoka Sassuolo
kwa ada ya euro million moja kwa mkataba wa miaka miwili.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 mzaliwa wa ujerumani mwenye asili ya ghana aliweza hapo nyuma kukipiga Tottenham Hotspur, Borussia Dortmund, Schalke, portsmouth ,Eintracht Frankfurt , AC Milan na Barcelona.

You May Like
0 comments:
Post a Comment