Anthony
Yarde akiwa chini baada ya kuangushwa na Sergey Kovalev raundi ya 11
katika pambano la ubingwa wa dunia usiku wa jana ukumbi wa Traktor Sport
Palace, Chelyabinsk nchini Urusi. Kovalev alishinda kwa Knockout (KO)
raundi ya 11 na kufanikiwa kutetea taji lake la WBO uzito wa Light Heavy
0 comments:
Post a Comment