Beki wa Yanga, Andrew Vincent 'Dante' ameibuka na kusema anaidai klabu yake kiasi cha shilingi milioni 45 za kitanzania, imeelezwa.
Dante ambaye hayuko na kikosi cha Yanga kwa muda mrefu sasa ameamua kufunga kutokana na ukimya wake ikiwa hajajiunga na timu tangu kuanza kwa msimu huu.
Beki huyo likuwa ni mongoni mwa wachezaji waliogoma hapo awali kati yake na Juma Abdul sambamba na Kelvin Yondani ingawa wenzake tayari walishajiuna=ga na timu.
Abdul na Yondani wlaijiunga baada ya kuelewana na Yondani lakini Dante haijajulikana zaidi tatizo lipo wapi.
Haijajulikana ni lini Yanga na Dante watamalizana ilihali tayari msimu mpya umeshaanza.
0 comments:
Post a Comment