Wachezaji
wa Azam FC wakipongezana kwa ushindi wa 5-0 dhidi ya Green Warriors
kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi
mjini Dar es Salaam mabao ya Abalkassim Khamisi mawili, Muivory Coast
Richard Ella D'jodi, Mzimbabwe Donald Ngoma na Mrundi Suleiman Ndikumana
moja kila mmoja
Home
»
»Unlabelled
» AZAM FC YAWACHAPA GREEN WARRIORS 5-0 KATIKA MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI LEO
Monday, October 14, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment