Kipa
Aishi Salum Manula akiwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere leo
kutoka Kigoma walipokwenda kwa ajili ya mechi za kirafiki dhidi ya
wenyeji Mashujaa FC na Aigle Noir ya Burundi
Beki Muivory Coast, Serge Pascal Wawa akirejea kishujaa baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Mashujaa na sare ya 0-0 na Aigle Noir
0 comments:
Post a Comment