Mwekezaji
Mkuu kunako Simba, Mohammed Dewji 'Mo' ametangaza kujiondoa kunako Bodi
ya Wakurugenzi ya klabu hiyo ikiwa ni baada ya timu yake kufungwa 1-0
dhidi ya Mtibwa Sugar katika fainali ya Mapinduzi CUP.
Mo ameeleza kuwa kwa sasa ataendeleza zaidi soka la vijana na kukuza miundombinu ndani ya klabu.
0 comments:
Post a Comment