MIAKA 16 YAENDA UTURUKI KUSHIRIKI MICHUANO YA MERCEDES BENZ AEGAN Wachezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 16 wakiwa tayari kuondoka kwenda Uturuki kushiriki michuano ya vijana ya Kimataifa ya Mercedes Benz Aegan inayotarajiwa kuanza Januari 15 hadi 21
0 comments:
Post a Comment