Mwenyekiti
wa Bodi ya Simba SC, Mohamed 'Mo' Dewji (kulia) akiwa na Balozi wa
Sweden nchini Tanzania, Andres Sjoberg leo Jijini Dar es Salaam katika
mazungumzo yaliyohusu ushirikiano wa maendeleo ya soka ya vijana. Mo
Dewji amesema Balozi Sjoberg amejitolea kuleta makocha mashuhuri
kuisaidia Simba kuanza mpango huo na kuzindua kituo cha kukuza soka ya
vijana cha klabu hiyo ndani ya mwaka huu
Home
»
»Unlabelled
» MO DEWJI ALIPOKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN KUJADILI UENDELEZAJI SOKA YA VIJANA SIMBA SC
Wednesday, January 15, 2020
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment