Wachezaji
wa Racing Club de Lens wakipongezana baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya
mabingwa watetezi, Paris Saint-Germain kwenye mchezo wa Ligue 1,
Ufaransa bao pekee la mshambuliaji Mcameroon, Ignatius Kpene Ganago
dakika ya 57 Uwanja wa Bollaert-Delelis Jijini Lens. PSG iliyokuwa
inacheza mechi yake ya kwanza ya msimu mpya, iliwakosa nyota wake
wote, Neymar, Kylian Mbappe na Angel Di Maria
0 comments:
Post a Comment