WENYEJI, Benfica wamewatandika Barcelona mabao 3-0 katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Luz Jijini Lisbon, Ureno.
Mabao ya Benfica jana yamefungwa na Darwin Núñez dakika ya tatu na 79 kwa penalti na Rafa Silva dakika ya 69 na kwa kipigo hicho cha pili mfululizo, Barcelona inashika mkia nyuma ya Dinamo Kiev yenye pointi moja.
Bayern Munich wanaongoza sasa kwa pointi zao sita, wakifuatiwa na Benfica yenye pointi nne.
0 comments:
Post a Comment