Tuesday, September 28, 2021

 


BONDIA Anthony Joshua amevuliwa mataji yake ya ubingwa wa ngumi za kulipwa uzito wa juu baada ya kuchapwakwa poonti Oleksandr Usyk wa Ukraine usiku wa jana Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London, Uingereza. 


Joshua, mwenye umri wa miaka 31 alionekana kabisa kushindwa kummmudu Usyk ambaye majaji wote walima ushindi wa pointi 117-112, 116-112 na 115-113 na sasa huyo ndiye bingwa wa mataji ya WBO, WBA, IBF na IBO.




0 comments:

Post a Comment