SIMBA WATUA MUSOMA KUIVAA BIASHARA KIKOSI cha Simba tayari kipo Musoma mkoani Mara baada ya safari ya ndege Dar-Mwanza na basi Mwanza- Musoma tayari kwa mchezo wake wa ufunguzi wa Ligi Kuu dhidi ya wenyeji, Biashara United kesho Saa 10:00 jioni Uwanja wa Karume.
0 comments:
Post a Comment