YANGA WAWASILI KUIVAA KAGERA KIKOSI cha Yanga kimewasili salama Bukoba mkoani Kagera leo baada ya kuondoka Dar es Salaam asubuhi ya leo, tayari kwa mchezo wao wa kwanza wa Ligi Kuu dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar Jumatano Uwanja wa Kaitaba.
0 comments:
Post a Comment