SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limekutana na timu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa ili kufanyia kazi kasoro zote zilizojitokeza katika michezo ya awali.
Timu za Tanzania ambazo zinashiriki mashindano ya kimataifa ni Azam FC na Biashara United hizi ni kwenye Kombe la Shirikisho na Simba katika Ligi ya Mabingwa huku Yanga wao wakiwa wameshaaga mashindano baada ya kutolewa katika mchezo wa awali.
Taarifa iliyotolewa na TFF imeeleza kuwa kumekuwa Tanzania imepewa onyo kutokana na kuripotiwa matukio mengi kwenye vyumba vya kubadili nguo pale vilabu vinavyocheza mashindano ya kimataifa na masuala ya vipimo vya PCR.
Taarifa hiyo imeeleza hivi:-
0 comments:
Post a Comment