SIMBA SC KWENDA BOSTSWANA KESHO USIKU KIKOSI cha Simba SC kinatarajiwa kuondoka usiku wa kesho kwenda Gaborone nchini Botswana kumenyana na wenyeji, Jwaneng Galaxy FC katika mchezo wa kwanza Raundi ya Pili Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanja wa Taifa wa Gaborone Jumapili Saa 10:00 jioni.
0 comments:
Post a Comment