Bondia @twaha_kiduku amesema anamtaka yule Raia wa Congo aliyempiga Mtanzania @official_dullahmbabe

Twaha amewataka mapromota kuandaa pambano hilo haraka kwani ana kisasi cha kulipa na heshima ya kuweka.

Unasemaje mdau : Pambano liwepo au lisiwepo?