"Morisson ni mchezaji mjanja sana anajua ni namna gani ya kuitaftia timu matokeo kwa kutumia ujanja wake kuitaftia timu yake matokeo lakini siku ya jana alimpiga mchezaji wa Namungo kiwiko alistahili kupewa kadi nyekundu".

"Ila hata upande wa Aishi Manula alimfanyia faulo Jacob Massawe lakini alifika akiwa na kadi ila hakumuonyesha pia naona makame anastahili kupewa adhabu nyingine nje ya kadi nyekundu nadhani kamati ya masaa 72 inahitaji adhabu ambayo itafanya kila mchezaji atajali afya ya wachezaji wenzie."