KLABU ya Tanzania Prisons imeimarisha safu yake ya ushambuliaji kusajili wachezaji wawili wapya, Mudathir Said kutoka Coastal Union ya Tanga na Abubakar Malika aliyekuwa Mwadui FC ya Shinyanga.
Mudathir Said aliyewahi pia kuchezea Taifa Jang’ombe ya Zanzibar akisaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na Tanzania Prisons.
Abubakar Malika akisaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na Tanzania Prisons.
Abubakar Malika akisaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na Tanzania Prisons.
0 comments:
Post a Comment