Kiungo
Mbrazil wa Chelsea, Willian akimtoka beki wa Norwich City, Timm Klose
katika mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la FA England jana Uwanja wa Carrow
Road mjini Norwich, Norfolk timu hizo zikitoka sare ya 0-0 na sasa
zitarudiana kutafuta timu ya kwenda Raundi ya Nne ya michuano hiyo
0 comments:
Post a Comment