Sunday, January 7, 2018

Mshambuliaji Diego Costa akiruka uzio kwenda kushangilia na mashabiki baada ya kuifungia bao la pili Atletico Madrid dakika ya 68 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Getafe kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid. Costa alitolewa kwa kadi nyekundu kwa kwenda kushangilia na mashabiki katika mechi hiyo ya kwanza tangu arejee Atletico kutoka Chelsea. Bao la kwanza la Atletico Madrid lilifungwa na Angel Correa

0 comments:

Post a Comment