Kocha Arsene Wenger (kushoto) akisikitika baada ya timu yake, Arsenal kuchapwa mabao 2-1 na wenyeji, Brighton
& Hove Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja
wa The AMEX, Falmer, East Sussex. Mabao ya Brighton & Hove Albion
yamefungwa na Lewis Dunk dakika ya saba na Glenn Murray dakika ya 26,
kabla ya Pierre-Emerick Aubameyang kuifungia Arsenal dakika ya 43
Home
»
»Unlabelled
» WENGER ANAVYOZIDI KUTESEKA ARSENAL, NA LEO KAPIGWA 2-1
Monday, March 5, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment