Usiku wa June 14 ameeleza ukweli kuhusiana na timu gani atacheza msimu wa 2018/19, Griezmann siku tatu nyuma alinukuliwa akisema kuwa tayari ameshafanya maamuzi kuwa ni wapi atacheza msimu ujao lakini hakutaja jina la timu.
Kwa mujibu wa video clip inayosambaa mitandaoni inaonesha kuwa Griezmann ataendelea kuitumikia Atletico Madrid katika msimu wa 2018/19, Griezmann anafikia maamuzi hayo baada ya kuifungia Atletico jumla ya magoli 29 msimu uliopita katika mashindano yote.
0 comments:
Post a Comment