Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Susan Mlawi
amewaaga na kuwatia moyo viongozi na wachezaji wakati wa kuaga timu
zinazokwenda kushiriki katika mashindano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi tarehe 16 Agosti, 2018 Jijini
Bujumbura, Burundi.
Pamoja na hivyo, Mlawi amewakabidhi bendera wachezaji wa timu hizo ili kuonyesha kuwa wanaungwa mkono.
0 comments:
Post a Comment