Monday, August 13, 2018


Mshambulijai Robert Lewandowski akiwa ameshika taji la Super Cup ya Ujerumani baada ya kufunga mabao matatu dakika za 21, 26 na 54 katika ushindi wa 5-0 wa Bayern Munich dhidi ya Eintracht Frankfurt jana Uwanja wa Commerzbank-Arena mjini Frankfurt akiiwezesha Bavarians kushinda taji la tatu mfululizo. Mabao mengine ya Bayern Munich inayobeba Super Cup ya Ujerumani kwa mara ya tatu mfululizo yamefungwa na Kingsley Coman dakika ya 63 na Thiago Alcântara dakika ya 85

0 comments:

Post a Comment