Monday, August 13, 2018


Mshambuliaji Mbrazil, Neymar akishangilia baada ya kuifungia Paris St Germain bao la kwanza dakika ya 10 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Caen kwenye mchezo wa kwanza wa Ligue 1, Ufaransa Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris. Neymar ameichezea kwa mara ya kwanza PSG tangu alipoumiwa Februari mwaka huu na mabao mengine ya timu hiyo yamefungwa na Adrien Rabiot dakika ya 35 na Tim Weah dakika ya 89

0 comments:

Post a Comment