Polisi wamezuia mkutano ambao ulipaswa ufanyike leo na mwanachama maarufu wa klabu ya Simba, Hamis Kilomoni.
Pamoja na kuzuia mkutano huo, Polisi wamemkataba Kilomoni kwa kupanga mkutano na waandishi wa habari bila ya kuwa na kibali.
Mkutano
huo ulipangwa kufanyika majira ya saa 5:00 asubuhi nyumbani kwa Mzee
Kilomoni, (Block 41 pembeni ya Shule ya Msingi Kumbukumbu).
Tayari
Mzee Kilomoni alikuwa amejiandaa kuongea pamoja na waandishi wa Habari
za Michezo kabla ya Polisi kuingia na kumuomba aelekee kituoni kwa kuwa
hakuwa na kibali cha kufanya mkutano huo.
0 comments:
Post a Comment