KIPCHOGE AWEKA REKDI MPYA YA KUMALIZIA MARATHONI NDANI YA SAA MBILI Eliud Kipchoge akifurahia baada ya ushindi wa rekodi mpya ya kukimbia Marathoni ndani ya saa mbili, Mkenya huyo mwenye umri wa miaka 34 akitumia muda wa Saa 1 dakika 59 na sekunde 40 kumaliza mjini Vienna, Austria asubuhi ya leo
0 comments:
Post a Comment