SHIZA KICHUYA ASAINI MKATABA KUREJEA SIMBA SC BAADA YA KUTEMWA NA KLABU YA MISRI Kiungo Shiza Ramadhani Kichuya (kulia) akisaini mkataba wa kurejea klabu yake ya zamani, Simba SC baada ya kuachwa na Pharco ya Misri iliyomsajili Februari mwaka jana na kumpeleka kwa mkopo ENNPI ya huko pia
0 comments:
Post a Comment