Ligi Kuu ya Tanzania Bara kuendelea Juni 13, 2020 Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema Ligi Kuu Tanzania Bara itaendelea kuanzia Juni 13 mwaka huu baada ya kusimama kwa zaidi ya miezi 2 kutokana na janga la corona , ratiba kutolewa Jumapili wiki hii Mei 31, 2020.
0 comments:
Post a Comment