Wednesday, September 29, 2021

 


WENYEJI, Real Madrid wamechapwa 2-1 na FK Sheriff Tiraspol katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabéu Jijini Madrid nchini Hispania.
Mabao ya FK Sheriff yalifungwa na 
0 - 1 25' J. Yaxshiboyev dakika ya 25 na Thill dakika ya 89, wakati la Real lilifungwa na K. Benzema kwa penalti dakika ya 65.
Sheriff inafikisha pointi sita baada ya ushindi huo na kupanda kileleni, ikifuatiwa na Real Madrid pointi tatu, Shakhtar Donetsk pointi moja sawa na Inter Milan baada ya mechi mbili za awali.

0 comments:

Post a Comment