RASMI KMC NA YANGA NI SONGEA OKTOBA 19 BODI ya Ligi Tanzania (TPLB), imeridhia ombi la klabu ya KMC Kinondoni kutaka mchezo wake wa Ligi Kuu ya Bara dhidi ya vigogo, Yanga SC uchezwe Uwanja wa Maji Maji mjini Songea Oktoba 19.
0 comments:
Post a Comment