YANGA SC YAICHAPA JKU 1-0 MKAPA BAO pekee la mshambuliaji Mkongo, Fiston Mayele Kalala dakika ya 41 jana lilitosha kuipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya JKU ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment