KIINGILIO CHA CHINI SIMBA NA AZAM 5,000 JUMAPILI KIINGILIO cha chini katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya Simba SC na Azam FC Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam ni Sh. 5,000 kwa mzunguko.
0 comments:
Post a Comment