CHIPUKIZI Mtanzania, Omar Abbas ambaye amejiunga na akademi ya Program Garuda Select kilichopo nchini Uingereza akitokea Cambiasso Sports Academy – amebahatika kukutana na aliyekuwa bingwa wa dunia wa ngumi za kulipwa uzito wa juu aliyekuwa anashikilia mataji ya WBA, IBF, WBO na IBO, Anthony Joshua nchini humo. Wawili hao walikutana Gym.
0 comments:
Post a Comment