MABINGWA
wa Ligi Kuu Bara Simba kwa msimu wa 2019/20 wanatarajiwa kukutana na
washindi wa pili wa Kombe la Shirikisho, Namungo FC, Agosti 30, Uwanja
wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.
Mchezo huo utakuwa ni wa ufunguzi wa Ligi Kuu Bara ambayo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 6.
Namungo
itakuwa na hasira za kufungwa mabao 2-1 mbele ya Simba kwenye fainali
iliyochezwa Uwanja wa Nelson Mandela huku Simba ikiwa na hesabu za
kuanza kukusanya mataji mapema kabisa kabla ya ligi kuanza kuchanganya.
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.