Mchezo hui utapigwa Uwanja wa Mkapa, majira ya saa 11:00 jioni.
Siku
hiyo ni rasmi kwa ajili ya kuwatambulisha wachezaji wapya na wale wa
zamani ambao ni mali ya Simba ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu
Bara.
Miongoni
mwa wachezaji wapya ni pamoja na Bernard Morriosn, Larry Bwarya,
Charlse Ilanfya huku wale wa zamani ikiwa ni pamoja Ibrahim Ajibu, Said
Ndemla, Meddie Kagere, John Bocco.
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.