Y ANGA kweli safari hii imepania kuhakikisha kuwa inawalinda mastaa wake hiyo ni baada ya uongozi wa klabu hiyo chini ya wadhamini w...
MABINGWA WATETEZI WAREJEA DAR
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba leo Januari 27,2022 wamerejea salama Dar es Salaam. Timu ya Simba chini ya Kocha Mkuu, P...
YANGA WAKIIFANYIA MAZOEZI MBAO FC LEO KIRUMBA
KIUNGO mpya Mkongo wa Yanga, Chico Ushindi akifanya mazeozi leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza kujiandaa na mchezo wa Hatua ya 32 Bor...
DODOMA JIJI, POLISI ZASONGA MBELE KOMBE LA TFF
TIMU ya Dodoma Jiji FC imefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Sum...
Kisa Kuondolewa Afcon, Mastaa Nigeria Watishiwa Kuuwawa
WACHEZAJI wa timu ya taifa ya Nigeria, Maduka Okoye ambaye ni golikipa na kiungo Alex Iwobi wametishiwa kuuwawa baada ya timu yao ya taifa k...
Baada ya kukimbizwa hospitali Sadio Mane na Dias wako sawa
Nahodha wa Senegal Sadio Mane pamoja na golikipa wa Cape Verde Josimar Dias wote wanaendelea vizuri baada ya kukimbizwa hospitali kufuatia...
Rais wa CAF Motsepe aguswa na vifo vya mashabiki AFCON 2021
Rais wa Shirikisho la soka Afrika (CAF) Patrice Motsepe ametoa salama za pole kwa ndugu jamaa na marafiki kutokana na kutokea kwa tukio kufa...
Barbara Avunja Ukimya Simba..Afunguka Namba Wanavyopigwa Vita Nnje ya Uwanja
Uongozi wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Simba SC kupitia Mtendaji Mkuu ‘CEO’ Barbara Gonzalez, amesema mbali na ndani ya uwanja, klabu hiyo ...
Ahmed Ally: Gape la Point 10 halitutishi
Meneja wa Habari wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Ahmed Ally ameendelea kusisitiza suala la kutokua na wasiwasi wa kutetea ubing...
Kikosi cha Simba chatua Bukoba, Kukipiga na Kagera Sugar kesho
Kikosi cha Simba SC tayari kipo mkoani Kagera kwaajili ya kuvaana na Kagera Sugar kwenye mtanange wa NBC Premier League hapo kesho Jumatan...
Robo Fainali ya Afcon imehamishwa baada ya msongamano uwanjani
Mechi ya robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika inayotarajiwa kuchezwa Jumapili katika Uwanja wa Olembe uliopo mji mkuu wa Cameroon, Y...
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 26.01.2022: Diaz, Bentancur, Tielemans, Ndombele, Orsic, Alli, Aubameyang
Ofa ya Tottenham ya takriban pauni milioni 38 kwa winga wa Porto kutoka Colombia Luis Diaz, 25 imekataliwa. (Guardian) Aston Villa wanakar...